Kocha wa Man United Louis Van Gaal
amesema uamuzi wa kumuondoa mshambuliaji Radamel Falcao kutoka kwenye
kikosi chake ulikuwa wa kiufundi.
Falcao ambaye alicheza mechi
tano za awali, alishuhudia timu yake ikipoteza mchezo kwa bao 1-0
walipokutana na Southampton hapo jana wakiwa Old Trafford.
Falcao
anaichezea manchester kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu akitokea Monaco
lakini amefunga magoli matatu pekee tangu alipojiunga na Manchester
mwezi Septemba mwaka jana
Post a Comment