SINISA KWELI NUKSI KUMBE ETI MFUMO HUU UNAITWA 0-0-10 DAH 4-4-2 NA MIFUMO MINGINEYO KWAHERI SAMPODORIA.
Sampdoria
wakiwa wamesimama msitari mmoja kabla ya mpira kuanza ikiwa ni mbinu
mpya ya kushambulia zaidi waliyoamua kuitumia kwenye mchezo wao. Mfumo huo unaitwa 0-0-10 ambao ni mfumo mpya wa mwalimu Sinisa.
Post a Comment