Sampdoria wakiwa wamesimama msitari mmoja kabla ya mpira kuanza ikiwa ni mbinu mpya ya kushambulia zaidi waliyoamua kuitumia kwenye mchezo wao.
Mshambuliaji wa Lazio Felipe Anderson akiwafunga Sampdoria goli la kwanza.
Kocha wa klabu ya Sampdoria Sinisa Mihajlovic ambaye ni mchezaji wa zamani wa Lazio akitoa maelekezo kwa vijana wake.
Raisi wa klabu ya Sampodoria Massimo Ferrero akiwashuhudia vijana wake akiwa katikati ya mashabiki na si jukwaa kuu kama ilivyo ada ya wamiliki wengi wa timu.
Post a Comment