0
Na Onesmo Emeran. (Smart Striker)
 
Mchakato wa Usajili umefungwa Rasmi Usiku wa tarehe 6 ya mwezi huu wa nane na Majimaji fc almaarufu wanalizombe  imefanya Usajili wa Wachezaji takribani 23 katika msimu wa ligi kuu 2016/2017.

Na wafuatao ni wachezaji wa Majimaji wapyana timu wanazotokea kwenye mabano na wale wa zamani.

Magolikipa.
Agathon Antony (Kagera) Aman Simba (Jkt Oljoro) Filoteus Mahundi

Wengine ni ;
Bahati Yusuph, Alex Kondo Zegega, Samir Luhava, Lulanga Mapunda, Peter Mapunda, Idd Kipagwile, Piere Joseph, Hassan Hamis, Luka Kikoti, George Mpole(Kimondo) Seleman Kibuta( Mtibwa).

Yusuph Mgwao (Friends Rangers), Baraka Mwakangale(Mwadui), Paul John(Polisi Moro) Hamady Kibopile(Mbeya City), Paulo Mahona, Marcel Boniventure, Kennedy Kipepe, Mpoki Mwakinyuki, Dalngithon(Ametokea Nigeria).

Post a Comment

 
Top