0
Umoja wa Vijana wa Simba unapenda  kuwatangazia wanachama wote wa group la  Umoja kuwa Jumapili tarehe 14  kutakuwa na mkutano wa wanachama wa umoja huu pale Tcc Club Chang'ombe.

Ajenda kuu ya mkutano ni kujadili mchakato kuelekea kwenye mabadiliko klabu kujiendesha kibiashara.

Tunatarajia mkutano huu utaudhuriwa na baadhi ya viongozi wa Simba pia na mgeni kutoka soko la  hisa Dar es Salaam.

Muda: SAA 4.00

Tunaomba wanachama wa umoja huu kuwahi maana saa NNE kamali ndio kikao rasmi kitaanza, na tunategemea kumaliza mapema ili wanachama wapate kujiandaa kwenda uwanjani kuishangilia timu yetu ambayo itacheza na URA

ANGALIZO: Kufika kwenu ndio kutatoa taswira ya mustakabali wa Simba ya sasa na badae, Mihemko haina nafasi, kikao ni kwa ajili ya kujifunza kabla ya kuchukua mamuzi sahihi.

Simba Nguvu Moja.

Wako Abeid King
Katibu Kamati ya Mandalizi

Post a Comment

 
Top