0
Baada ya dirisha la usajil kufungwa usiku wa tarehe 6 mwez 8 Mwaka huu na Shirikisho la Soka nchini Tanzania,Vilabu mbalimbali vimeendelea kuanika majina wa wachezaji wao ambao watatumika katika msimu huu wa 2016/2017 wa Ligi kuu Tanzania bara na hata ligi daraja la kwanza hali kadhalika ligi daraja la pili.

Na hapa nakuletea Majina/Orodha ya wachezaji wa Mbeya City ikiwa na jumla ya wachezaji 28 na wanne kati yao ikiwa ni wale waliopandishwa kutoka kikosi b na wengne takriban 7 wakiwa ni wapya na kutoka katika vilabu vingine Tanzania na katika mabano ni timu walizotokea.

Fikirini Bakari(Coastal union),Ayoub Semtawa(Coastal Union),Rajab Isihaka(African Sports),Omary Ramadhan Barbatov(African Sports),Rajab Zahir(Yanga),Mohameid Mkopi(Tanzania Prisons),Mark Frank Makolo (Azam fc).

Na katika hatua nyingine wachezaji waliopandishwa ni pamoja na Keneth Kunambi,Michael Kerenge,Joshua Ibrahim pamoja na Peter Mwangosi.

Wazamani ni pamoja na Hamis Msabila,John Jerome,John Kabanda,Haruna Shamte,Hassan Mwasapili,Tumba Lui Sued,Kenny Ally Mwambungu,Medson Absolom Mwakatundu,Hamidu Mohameid,Ramadhan Suleiman Chombo(Redondo),Rafael Daud,Joseph Mahundi,,Ditram Nchimbi,Joshua Ibrahimu,Omary Ramadhan,Issah Nelson,Salvatory Nkulula,Rajab Abdallah na Geofrey Kunambi.

Hawa ndyo nyota takribani 28 wa Mbeya city msimu wa 2016/2017.

Post a Comment

 
Top