Afrika ni moja kati ya mabara yaliyobarikiwa kuwa na vipaji vingi sana vya michezo mbalimbali na soka likiwa moja kati ya michezo hiyo. Bara hili limeshuhudia wanasoka wenye ubora mbalimbali waliofanikiwa kuweka rekodi mbali mbali katika tasnia hiyo. Wapo waliovunja rekodi kwa kucheza soka wakiwa na umri mkubwa zaidi, lakini wapo pia waliofanikiwa kuwa wachezaji ghali zaidi na wengine wakifanikiwa kuwa wachezaji bora wa Dunia. Ifuatayo ni orodha ya ya wachezaji kumi matajiri zaidi barani Afrika kwa mujibu wa jarida la AFK Sports.
10.CHRISTOPHER SAMBA. (Utajiri wa Paundi milioni 8)
Mlinzi raia wa Kongo aliyefanikiwa kusaini mkataba wa malipo ya paundi milioni 160,000 na klabu ya matajiri wa mafuta wa nchini Urusi ya Anzhi Makhachkala, Lakini pia alifanikiwa kusaini mkataba wenye malipo sawa na hayo pale alipoamua kurejea nchini Ueingereza na kujiunga na klabu ya Queens Park Rangers. Kwa sasa anakipiga kwenye klabu ya Dynamo Moscow.

9. SEYDOU KEITA ( Utajiri wa Paundi milioni 10)
Kiungo raia wa Mali aliyeamua kujiunga na klabu ya Valencia mnamo mwanzoni mwaka huu wa 2014 mara baada ya kuitumikia kwa mwaka mmoja klabu ya ligi kuu ya nchini China ya Dalian Aerbin ambako alikua anajikusanyia kitita cha paundi milioni 16 kabla ya makato ya kodi. Lakini mnamo mwezi June mwaka huu aliamua kusaini mkataba wa mwaka mmoja na klabu ya Serie A ya A.S. Roma.
8. FREDERIC KANOUTE (Utajiri wa Paundi Milioni12 )
Huyu pia ni raia wa Mali ambaye aliwahi kukipiga kwenye vilabu vya Lyon ya nchini Ufaransa,West Ham ya Uingereza na Sevilla ya nchini Hispania. Muislamu mwenye msimamo thabiti na dini yake na aliwahi kutumia kiasi kinachokadiriwa kufikia paundi milioni 700,000 kuununua msikiti uliokua ukiuzwa nchini Hispania. Kwa sasa anakipiga kwenye klabu ya ligi kuu nchini China ya Guoan yenye maskani yake kwenye jiji la Beijing.
7.JOHN OBI MIKEL (Utajiri wa Paundi milioni 15 )
Karia yake ya soka la kimataifa ilianzia kwenye klabu ya Lyn Oslo ya nchini Norwey, Lakini kiungo huyu raia wa Nigeria umaaruru wake ulikua zaidi alipoanza kuitumikia klabu ya Chelsea, aliwahi kuingia kwenye mgogoro wa kiusajili na klabu ya Manchester United mnamo mwaka 2005 mkataba ambao uliwagombanisha vilabu vya chelsea na Manchester United.Mgogoro huu ulimshuhudia Obi Mikel akiidhinishwa kuitumikia Chelsea ambayo anamkataba nayo mpaka mwaka 2017.
6. KOLO TOURE (Utajiri wa Paundi milioni 18 )
Mlinzi raia wa Ivory Coast aliyeingia kwenye historia ya kuvichezea vilabu vitatu vikubwa vya nchini Uingereza; Arsenal, Manchester City, na sasa klabu ya Liverpool ambayo anamkataba nayo mpaka mwaka 2015. Kolo anamkataba wa udhamini na kampuni ya vifaa vya michezo ya Adidas.Ana udugu na mwanasoka Yaya Touré, na kijana aliyetangulia mbele ya haki Ibrahim Touré, aliyefaliki mnamo mwezi Juni akiwa na umri wa miaka 28 mara baada ya kupambana na maradhi ya kansa kwa miaka kadhaa.
5. MICHAEL ESSIEN.( Utajiri wa Paundi milion 25 million)
Alishawahi kuwa mchezaji tajiri zaidi barani Afrika mnamo mwaka 2005 alipohama kutoka klabu ya Lyon kwenda Chelsea kwenye dili ambalo lilimfanya atie kibindoni kiasi cha paundi milioni 40.5 mara baada ya misimu tisa na matajiri wa jiji la London, Essien hatimaye alisaini na klabu ya AC Milan mnamo mwezi January 2014 kwa mkataba wa mwaka mmoja na nusu.
4. Emmanuel Adebayor ($27 million)
He’s Togo’s top scorer of all time, and the striker earned a reported $268,000 a week with Manchester United. He has signed a loan deal to play with Real Madrid, and now kicks for Tottenham Hotspur. He’s known for quarreling with managers and also donating lots of money to charities- See more at: http://afkinsider.com/70638/highest-paid-african-football-players-2014/8/#sthash.LUiRPEYD.dpuf
4. EMMANUEL ADEBAYOR (Utajiri wa paundi milioni 27 )
Huyu ndiye mfungaji wa muda wote kwa sasa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Togo. Inaarifiwa kuwa mshambuliaji huyu alikua akijinyakulia mshahara mnono wa paundi 268,000 kwa wiki akiwa na klabu ya Manchester City. Alishawahi kusaini mkataba wa mkopo wa kuitumikia klabu ya Real Madrid, ila kwa sasa anakipiga na klabu ya Tottenham Hotspur. Ni mmoja kati ya wachezaji ambao huwa hawaoni tabu kuwatolea uvivu makocha wao pindi anapoona wanafanya upuuzi lakini ni mmoja kati ya wachezaji wanaojajwa kujitoa sana kusaidia na kuchangia mifuko mbalimbali ya kuisaidia jamii.
3. YAYA TOURE (Utajiri wa paundi milioni 65 )
Huyu ni mchezaji mwingine raia wa Ivory coast aneyetoka kwenye familia ya akina Toure ambayo ni maarufu sana katika tasnia ya soka la kimataifa ambaye ameandika historia kubwa kwenye tasnia hiyo. Mchezaji huyu wa zamani wa klabu ya Barcelona hivi majuzi amesaini mkatana wa miaka mitano wa kuitumikia klabu ya Manchester City unaomfanya ajinyakulie kitita cha paundi milioni 40.

2. DIDIER DROGBA( Utajiri wa paundi milioni 70 )
Mchezaji mwingine anayetoka kwenye kizazi cha dhahabu cha Ivory Coast, Hajawahi kuhamishwa kwa uhamisho wa kuvunja rekodi ya Dunia, alipojiunga na klabu ya Chelsea alikua akilipwa kiasi cha paundi 170,000 kwa wiki. Anashikiria nafasi ya nne ya wafungaji wa muda wote wa klabu ya Chelsea akiwa pia anashikiria namba moja kwa wachezaji wa kigeni ndani ya klabu ya chelsea.Alipokua akikipiga kwenye klabu ya Galatasaray ya nchini Uturuki alikua akijikusanyia kitita cha paundi milioni 5.2 kwa mwaka ikiwa ni nje ya mapato kutoka kwa wadhamini mbalimbali wanaomdhamini yeye binafsi.

1. SAMUEL ETO'O (Utajiri wa paundi milioni 90 )
Huyu ndiye mchezaji tajiri zaidi barani Afika ambaye ameingia kwenye historia ya kujinyakulia tuzo ya mchezaji bora wa bara hili kwa mara nne. Alipokuwa akikipiga kwenye klabua ya Anzhi Makhachkala mshambuliaji huyu raia wa Cameroon mnamo mwaka 2011 mpaka 2013, aliandika historia kadhaa akiwa na klabu hiyo akiwa anajikusanyia kitita cha jumla ya paundi milioni 25 kwa mwaka. Amewahi kuvitumikia vilabu vya Real Madrid, Barcelona, Inter Milan, na Chelsea kwa nyakati tofauti, Lakini mnamo mwezi August 2014 alisaini mkataba wa kukitumikia klabu cha Premier League cha Everton.

10. Christopher Samba ($8 million)
The great Congolese defender made $160,000 a week with the contract he signed for Anzhi Makhachkala, and he he earned the same amount between shifts with Anzhi playing for Queens Park Rangers. He now plays for Dynamo Moscow.- See more at: http://afkinsider.com/70638/highest-paid-african-football-players-2014/2/#sthash.rOePjWcI.dpuf
The
following 10 masters of the football universe play for international
soccer clubs, and they’re all from Africa. They make more money than
imaginable, but no one could have dreamed up their talents. Here are the
10 highest-paid African football players of 2014, including
a calculation of their respective net worth, according to Football
Money. - See more at:
http://afkinsider.com/70638/highest-paid-african-football-players-2014/#sthash.SiKqIGfx.dpuf

Post a Comment