Klabu ya Arsenal imeripotiwa kumnasa kinda Brooklyn Beckham na kumsainisha mkataba wa mwaka mmoja mara baada ya kuvizidi ujanja vilabu vya Chelsea na Manchester United kuinasa saini ya kinda hilo lenye umri wa mika 15.
Taarifa zianadai kuwa kijana huyo ambaye ni mtoto wa kwanza wa mwnandinga wa zamani wa klabu ya Manchester United na Real Madrid,David Beckham alimvutia sana meneja wa klabu ya Arsena kwenye mazoezi ya klabu hiyo na hivyo kuamua kumpatia mkataba wa mwaka mmoja ili kuangalia maendeleo yake.
Pia imethibitika kuwa klabu hiyo huenda ikafikiria suala la kumpa mkataba wa miaka mitano lakini kwa sharti la kijana huyo aendelee kufanya vizuri kwenye mafunzo na michezo yote ya msimu kwa ujumla.
Post a Comment