Vyombo vya hbari nchini Uholanzi vimehoji kitendo cha wachezaji wao wa timu ya taiafa wakiongozwa na Robin van Persie kufanya pati la kufa mtu kwenye moja ya mikahawa nchini humo ikiwa ni masaa machache tu tangu timu yao ipoteze mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Mexico.
Wachezaji
Arjen Robben, Ibrahim Afellay, Wesley Sneijder, Klaas-Jan Huntelaar na Robin Van Persie walikua kwenye mkahawa huo wakionekana kuwa na furaha na maisha yao ya kawaida badala ya kuwaza jinsi ambavyo wanavyoweza kuinusuru timu hiyo mara baada ya kupoteza mchezo huo mbele ya Mexico kwa jumla ya magoli 3-2
kwenye dimba ka Amsterdam Arena.
Post a Comment