Home
»
FOOTBALL
» KWA JEZII HII MANCHESTER CITY NA NEW YORK CITY FC ZIMEDHIHIRISHA UDUGU WAO WA DAMU.
David Villa akipita mbele ya waandishi wa habari kuonesha jezi mpya itakayoyumiwa na timu yake ya New York City FCkwaajili ya msimu ujao wa mwaka 2015.
|
Frank Lampard na David Villa wakiwa wamepozi katika muonekano mpya na jezi zao mpyaza klabu yao ya New York City ambayo ni pacha wa klabu ya Manchester City. |
|
Huu ndio muonekano wa Frank Lampard akiwa na jezi ya klabu ya Manchester City yenye muonekano sawa na ile iliyozinduliwa na New York City Fc. |
Post a Comment