Wayne Rooney siku ya Jumapili anakwenda kuungana na wakali kadhaa waliowahi kuichezea timu ya taifa ya Uingereza kutimiza idadi ya michezo 100 wakiwa wanaitumikia timu yao ya taifa wakati England itakapokuwa kwenye dimba lake la Wembley kukipiga dhidi ya Slovenia.
Kwa sasa Rooney mwenye umri wa mika 29 anashika nafasi ya nne katika orodha ya wafungaji wenye magoli mengi zaidi waliowahi na wanaoichezea timu ya taifa ya Uingereza akiwa tayari amekwisha tupia kambani jumla ya magoli 43 katika michezo 99 aliyoichezea timu ya taifa lake.
Katika kuheshimu mafanikio hayo nayotarajiwa kufikiwa na mshambuliaji huyo mtandao huu unakuletea orodha ya wachezahi wengine waliofikia mafanikio hayo.
1. Peter Shilton (Michezo 125)
2. David Beckham (Michezo 115)
Post a Comment