0
Wakati klabu yake ya Manchester United ikipambana kwa udi na uvumba kurejea katika nafasi yake ya kawaida kwenye Premier League hali imekua tofauti kwa mshambuliaji ghali wa klabu hiyo Angel Di Maria ambaye manunuzi yake yanaonesha dhahiri kuwa jamaa alikua akijiandaa kujishusha mwishoni mwa wiki hii.

 
Mshambuliaji huyo raia wa Argentiana amenaswa akifanya manunuzi ya vinywaji vya aina mbali mbali kwa wingi tofauti na kamera ya mapaparazi ilivyomnasa mshambuliaji wa Liverpool Daniel Sterridge aliyeonekana kununua vyakula vya ujenzi wa mwili ake zaidi.

Di Maria hands his wallet back to his wife as the pair leave Waitrose with a full trolley
Di Maria anayepokea mshahara wa paundi 200,000 kwa wiki alikua ameambatana na mke wake Jorgelina Cardoso alinunua vinywaji kadha wa kadha vikiwemo vya baridi na vileo Fanta, Sprite, Coca-Cola na mvinyo wa Kimexico wa Corona Extra.

The Argentine winger has scored three goals so far this season and has been a shining light for Louis van Gaal

Post a Comment

 
Top