0
KWA WATUKUTU HAWA WA GALATASARAY ARSENAL KAZI WANAYO. KWA WATUKUTU HAWA WA GALATASARAY ARSENAL KAZI WANAYO.

Polisi wa jiji la London wamesema wamejipanga kisawasawa kuwakabiri masabiki zaidi ya 5000 wa vilabu vya Galatasaray na Besiktas zote k...

SOMA ZAIDI »

0
FIKRA ZANGU ZINANITUMA KUWA HUYU NDIYE SULUHISHO LA TATIZO LA KIUNGO NDANI YA ARSENAL. FIKRA ZANGU ZINANITUMA KUWA HUYU NDIYE SULUHISHO LA TATIZO LA KIUNGO NDANI YA ARSENAL.

Wakati Aaron Ramsey na Mikel Arteta wakitarajiwa kuwa nje kwa kipindi cha takribani mwezi mmoja, sehemu ya kiungo ya klabu ya Arsenal i...

SOMA ZAIDI »

0
LIVERPOOL KUMPA MSHAHARA MNONO RAHEEM STERLING ILI AENEDELEE KUBAKIA ANFIELD. LIVERPOOL KUMPA MSHAHARA MNONO RAHEEM STERLING ILI AENEDELEE KUBAKIA ANFIELD.

Liverpool imeripotiwa kutaka kumuongeza mshahara mshambuliaji wake Raheem Sterling ili kujaribu kumshawishi asiondoke ndani ya klabu hiy...

SOMA ZAIDI »

0
MARA BAADA YA KURUKA SARAKASI ZAKE NA KUZAWADIWA KADI NYEKUNDU HII NDIO MICHEZO ATAKAYOIKOSA NAHODHA WAYNE ROONEY. MARA BAADA YA KURUKA SARAKASI ZAKE NA KUZAWADIWA KADI NYEKUNDU HII NDIO MICHEZO ATAKAYOIKOSA NAHODHA WAYNE ROONEY.

Wakati akiwa akisherehekea kutimiza miaka 10 ndani ya klabu ya Manchester United nahodha wa klabu ya Manchester United, Wayne Rooney am...

SOMA ZAIDI »

0
KWELI HAWA JAMAA WAMEDHAMIRIA KUMREJESHA RONALDO OT. KWELI HAWA JAMAA WAMEDHAMIRIA KUMREJESHA RONALDO OT.

Mashabiki wa klabu ya Manchester United wametimiza adhima yao ya kupitisha bango lenye maneno 'COME HOME RONALDO' kwenye mchez...

SOMA ZAIDI »

0
BAYERN MUNICH YATANGAZA NIA YA KUMUONDOA MESUT OZIL ARSENAL. BAYERN MUNICH YATANGAZA NIA YA KUMUONDOA MESUT OZIL ARSENAL.

Kiungo wa klabu ya Arsenal Mesut Ozil anasakwa kwa udi na uvumba na klabu ya Bayern Munich kuelekea kwenye dirisha la usajili la mwezi...

SOMA ZAIDI »

0
LIVERPOOL YATANGAZA NIA YA KUMNYAKUA KARIM BENZEMA MWEZI JANUARY. LIVERPOOL YATANGAZA NIA YA KUMNYAKUA KARIM BENZEMA MWEZI JANUARY.

Liverpool imeweka hadharani nia yake ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Real Madrid Karim Benzema kwenye usajili wa mwezi January mwakan...

SOMA ZAIDI »

0
NIONAVYO MIMI WANNE HAWA WAONDOKE NDANI YA ARSENAL. NIONAVYO MIMI WANNE HAWA WAONDOKE NDANI YA ARSENAL.

Arsenal wamerejea katika mstari mwaka huu wakiwa na kikosi chenye marekebisho na sura mpya kadhaa wa kadha. Baadhi ya wachezaji wanaone...

SOMA ZAIDI »

0
LIVERPOOL NA MANCHESTER UNITED ZAWASHIWA TAA YA KIJANI KWA MARCO REUS. LIVERPOOL NA MANCHESTER UNITED ZAWASHIWA TAA YA KIJANI KWA MARCO REUS.

Liverpool na Manchester United wamewashiwa taa ya kijani katika mpango wao wa kutaka kumsajili kiungo wa klabu ya Borussia Dortmund  Ma...

SOMA ZAIDI »

0
MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED WAANZA MCHAKATO WA KUMREJESHA RONALDO OLD TRAFORD. MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED WAANZA MCHAKATO WA KUMREJESHA RONALDO OLD TRAFORD.

Mashabiki wa klabu ya Manchester United wanatarajia kukirudia kilekile walichokifanya dhidi ya kocha waliyetimuliwa ndani ya kikosi hic...

SOMA ZAIDI »

0
LIVERPOOL YAMTOLEA MATE HIGUAIN. LIVERPOOL YAMTOLEA MATE HIGUAIN.

Mabosi wa klabu ya Liverpool wametangaza nia yao thabiti ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Real Madrid  Gonzalo Hig...

SOMA ZAIDI »

0
GOLI LA KUSAWAZISHA LA FRANK LAMPARD LATOA UHAI WA SHABIKI WA CHELSEA. GOLI LA KUSAWAZISHA LA FRANK LAMPARD LATOA UHAI WA SHABIKI WA CHELSEA.

Frank Lampard (kushoto) aligoma kushangilia goli hilo alilolifunga dhidi ya timu yake ya zamani ya Chelsea   Mchezaji na mshabiki wa ...

SOMA ZAIDI »

0
JURGEN KLOPP AKANUSHA TAARIFA ZA ILKAY GUNDOGAN. JURGEN KLOPP AKANUSHA TAARIFA ZA ILKAY GUNDOGAN.

Meneja wa timu ya Borussia Dortmund Jurgen Klopp amekanusha taarifa zilizotolewa kwamba mchezaji wake Ilkay Gundogan aliyekua akisum...

SOMA ZAIDI »

0
MAMBO SABA UNAYOTAKIWA KUYAJUA KUHUSU DILI LA UPANUZI WA UWANJA WA LIVERPOOL. MAMBO SABA UNAYOTAKIWA KUYAJUA KUHUSU DILI LA UPANUZI WA UWANJA WA LIVERPOOL.

Liverpool imewashiwa taa ya kijani kuendelea na dili lake la kuufanyia upanuzi uwanja wa Anfield mnamo mwaka 2016 mara baada ya mamlaka...

SOMA ZAIDI »

0
RONALDO AKARIBIA KUVUNJA REKODI NYINGINE TENA NDANI YA MADRID NA LA LIGA. RONALDO AKARIBIA KUVUNJA REKODI NYINGINE TENA NDANI YA MADRID NA LA LIGA.

  Cristiano Ronaldo amerejea tena njiani msimu huu mara baada ya kutokuwa na msimu wa kuvutia sana mwaka jana kutokana na kuandamwa na ...

SOMA ZAIDI »

0
DANIEL AGGER AKITAJA KILICHOMUONDOA LIVERPOOL. DANIEL AGGER AKITAJA KILICHOMUONDOA LIVERPOOL.

Daniel Agger ameanika hadharani sababu zilizomfanya yeye aondoka ndani ya klabu ya Liverpool kuwa ni tofauti iliyokuwepo baina yake na m...

SOMA ZAIDI »

0
SIRI YAFICHUKA KIPIGO CHA GOLI 5-3 ILICHOAMBULIA MANCHESTER UNITED. SIRI YAFICHUKA KIPIGO CHA GOLI 5-3 ILICHOAMBULIA MANCHESTER UNITED.

Siri ya kipigo kizito ilichokipata klabu ya Manchester United kutoka kwa klabu iliyopanda daraja msimu huu ya Leicester City imefichuka....

SOMA ZAIDI »
 
 
Top