0
Arsenal to make £40m Reus bid before transfer window shuts
Arsenal wameweka kitita cha paundi milioni 40 wezani wakiwa na lengo la kutaka kumsajili kiungo wa Borussia Dortmund Marco Reus kabla ya dirisha la usajili kufungwa usiku huu. 

The Gunners wamekua wakimfuatilia Reus kipindi chote tangu dirisha la usajili lifunguliwe na wameamua kupeleka kitita hicho mara baada ya kuvuja kwa taarifa za Reus kugoma kusaini mkataba mpya na Dortmund.

Kipengere kinachoruhusu kuvunjwa mkataba wa Reus kinaitaka timu yenye nia ya kufanya hivyo kutoa kitita cha paundi milioni 20 kuanzia msimu ujao wa ligi, na sasa klabu ya Arsenal inaonekana kutaka kuwajaribu Dortmund kwa kuwawekea mezani kitita hicho cha paundi milioni 40.

Post a Comment

 
Top