0
Exit: Danny Welbeck has been linked with a move away from Old Trafford with Tottenham chasing
Inaaminika kuwa mchezaji Danny Welbeck anafanyiwa vipimo vya afya na klabu ya Arsenal kuelekea dakika za mwisho za usajili wa ligi kuu nchini Uingereza kwaajili ya kukamilisha dili la uhamisho wa mkopo kutoka klabu ya Manchester United.

Welbeck aliambiwa na meneja wa klabu ya ke ya Manchester United Mholanzi  Louis van Gaal akimwambia kwamba yeye ni ziada tu ndani ya United na anaweza kuondoka kwenda akutakako.

Mchezaji huyo alitua jijini London kwa lengo la kufanya mazungumzo na klabu ya Tottenham ili aweze kujiunga nayo na sasa taarifa zinadai kuwa mshambuliaji huyo ametekwa nyara na mabosi wa Arsenal na tayari wako wanamfanyia vipimo vya afya huku mazungumzo na United yakiendelea.

Post a Comment

 
Top