Mashabiki wa klabu ya Manchester
United wametimiza adhima yao ya kupitisha bango lenye maneno 'COME HOME RONALDO' kwenye mchezo amabao Real Madrid walikua wakikipiga dhidi ya Villarreal katika dimba la El Madrigal huku ikushuhudiwa Ronaldo akifunga goli la pili na la ushindi katika mchezo huo likitanguliwa na lile la mapema lililofungwa na Luca Modric.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment