0
as_richards
Klabu ya Fiorentina ya nchini italy imethibitisha kumtwaa mlinzi wa klabu ya Manchester City Micah Richards. 

Mchezaji huyo wa kimataifa wa England ameajiunga na klabu hiyo kwa mkopo wa muda mrefu ambapo sasa msimu mzima ataumalizia akiwa nchini Italy katika kipindi chote cha mwaka mmoja ambacho atakua anamalizia mkataba wake wa mwaka mmoja uli salia na klabu ya Manchester City.

Post a Comment

 
Top