0
Taking advantage: Arsene Wenger can finish the job Sir Alex Ferguson started with Welbeck
Kiungo wa pembeni wa klabu ya Aresenal Theo Walcott anatarajiwa kurejea kazini siku ambayo timu ya Arsenal watakua wakicheza mchezo na wapimzani wa mji mmoja (Derby) dhidi ya Tottenham.

Mshambuliaji huyo wa klabu ya Arsenal alipata maumivu hayo alipokua akiitumikia timu yake ya Arsenal ilipokua ikikipiga dhidi ya Spurs kwenye michuano ya FA manamo mwezi wa January.

Got your number: Danny Welbeck is the new No 23 at Arsenal after his £16m move from Manchester United

Walcott ambaye kwa sasa ametimiza umriwa mika 25 amerejea katika ufiti wake wa kawaida na anataraijiwa kuitumikia timu yake ya Arsenal kwenye mchezo wake wa ligi tarehe 27 ya mwezi huu kwenye mchezo wa derby ya kusini mwa jiji la London. 

All smiles: Alexis Sanchez (left) was signed from Barcelona this summer as part of Arsenal's £80million spree

Matibabu ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza yamekwenda sawia na klabu ya Arsenal sasa inaona kuwa ni wakati muafaka kwa mchezaji huyo kujumuishwa kwenye kikosi hicho ambacho kinakabiliwa na michezo mikubwa mitatu dhidi ya Spurs kwenye ligi hapo tarehe 27 ya mwezi huu na ule wa Octoba mosi kwenye uwanja wa Emirates dhidi ya Garatasaray kwenye michuano ya UEFA Champions League bila ya kuusahau mchezo mwingine wa derby dhidi ya wana London wenzao klabu ya Chelsea jumapili ya mwanzo ya mwezi Octoba. 

Extension: Mikel Arteta (left) will be offered an extra 12 months on his current deal at the Emirates Stadium

Meneja Mfaransa Arsene Wenger anamatumaini ya kuwa na Walcott ambaye atamtumia pamoja na Muingereza mwenza Danny Welbeck, aliyenunuliwa hivi kalibuni kwa ada ya uhamisho wa paundi milioni 16 kutoka klabu ya  Manchester United kwenye siku ya mwisho ya usajili wa wachezaji nchini Uingereza.

Post a Comment

 
Top