Klabu ya Arsenal iko kwenye mazungumzo mazito na mabosi wa klabu ya Toronto FC yenye madhumuni
ya kumsainisha mshambuliaji Jermain Defoe hii leo kabla ya dirisha la usajili la nchini
Uingereza kufungwa saa sita kamili kwa saa za Uingereza.
Defoe, mwenye umri wa miaka 32, anatarajia
kuondoka ndani ya Toronto FC ikiwa ni miezi 6 tu tangu ajiunge na timu hiyo
aliyosainiana nayo mkataba wa miaka minne na tayari taarifa zinadai kuwa Dafoe
ameonekana kwenye viunga vya jiji la London kukamilisha dili hilo.
Post a Comment