Mchezaji wa safu ya ulinzi ya katikati katika kilabu ya Wolfsburg nchini Ujerumani amefariki katika ajali ya barabarani.
Mchezaji
huyo mwenye umri wa mika 20 aliripotiwa kukaa katika kiti cha nyuma cha
gari kaskazini Magharibi mwa Ujerumani ambapo kulingana na maafisa wa
polisi wa Ujerumani lilikuwa likiendeeshwa kwa mwendo wa kasi.
Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Bundesatobahn 2.
Malanda alitarajiwa kusafari hadi Afrika kusini na wenzake jioni ya leo kwa kambi ya mazoezi.
Post a Comment