0
De Gea 'closes on new Man United deal'

Siku chache baada ya klabu ya Manchester United kuthibitisha kumsajili mlinda mlango wa zamani wa klabu ya Barcelona Victor Valdes pia klabu hiyo imethibitisha kuwa haraka mchakato wa kumpa mkataba mnono linda mlango wake namaba moja David de Gea umekwishaanza na unaelekea mahali pazuri.

Mlinda mlango huyo wa zamani wa klabu ya Barcelona ametua Old trafford kwa mkataba wa miezi 18 na hivyo kuzusha hisia kuwa mpango wa De Gea kujiunga na Real Madrid uko njiani.

Lakini kwa mujibu wa gazeti la Daily Mail, mazungumzo ya uongezaji wa mkataba huo baiana ya klabu ya Manchester United na david De Gea yanakwenda vizuri na anatarajiwa kusaini mkataba mpya siku chache zijazo.


Post a Comment

 
Top