0
Barcelona left with 70,000 empty seats as fans desert club

Sio siri klabu ya Barcelona kwa sasa iko kwenye hali ngumu kwa sasa kwani ukiachilia mbali kutimuliwa kwa baadhi ya maofisa wa ngazi za juu klabuni hapo, kufungiwa kutokufanya usajili kwa kipindi cha miezi 18 lakini pia mshambuliaji hodari wa klabu hiyo Muajentina Lionel Messi anatajwa kuwa katika mkakati wa kutaka kuondoka klabuni hapo.
 
Barcelona hivi majuzi imecheza mchezo dhidi ya klabu ya Eiche kwenye dimba la Camp Nou mbele ya mashabiki 27,000 elfu tu ikiwa takribani viti 70,000 vikibakia vitupu kutokana na mgomo huo wa mashabiki.

Vijana wa Meneja Luis Enrique walimaliza mchezo huo kwa kupata ushindi wa jumla ya magoli 5-0 huku wachezaji nyota kadhaa wakijumuishwa kwenye kikosi hicho.

Post a Comment

 
Top