0
Liverpool 'offered ex-Man United captain in SHOCK Lucas swap'
Liverpool iko katika hatua nzuri ya kumnasa nahodha wa zamani wa klabu ya Manchester United, Nemanja Vidic kwenye dili la kubadirishana na nyongeza ya pesa kidogo. 

Vidic,anaarifiwa kuwekwa kwenye orodha ya wachezaji wanaouzwa na klabu ya Inter Milan na sasa Liverpool inataka kumtoa sadaka mchezaji wake Lucas Leiva ili awe chambo wa kumnasa mlinzi huyo veterani.

Lucas amekua kiwindwa na klabu ya Inter Milan kwa muda mrefu sasa hivyo kwa kumtoa Vidic itawalazimu kuwalipa Liverpool kiasi kidogo tu cha pesa ili kufanikisha dili hilo.

Post a Comment

 
Top