0
Crucial: Hummels will be sorely missed at Dortmund if he leaves
Mlinzi wa klabu ya Borussia Dortmund Mats Hummels huenda saa chache zijazo akatangazwa rasni kama mchezaji wa EPL kufuatia hatua nzuri ya mazungumzo baina ya vilabu vya Mancester United na BVB.

Hummels anafikiria kuondoka ndani ya BVB mwaka huu wa 2015 katika kipindi ambacho klabu yake inapambana ili isishuke daraja.

Mlinzi huyo wa kimataifa wa Ujerumani alikua akihusishwa na klabu za Valencia, Juventus na Arsenal

Lakini taarifa kutoka nchini Uingereza zinadai kuwa Hummels amekitaja klabu cha Manchester United kuwa ndio mahala pake pajapo siku chache zijazo.

 Champions: Mats Hummels played an integral part in Germany's World Cup success
Mats Hummels anatarajiwa kujiunga na klabu ya Manchester United wiki hii akitokea klabu ya Borussia Dortmund kwa ada inayokisiwa kuwa ni paundi milioni 16.

Vilabu vyote viwili viko mezani kwa sasa vikifanya mazungumzo ya uhamisho huo na Manchester United inatajwa kuwa na uhakika wa kumnyakua mlinzi huyo muda mchache ujao.


Post a Comment

 
Top