Emile Heskey anatarajiwa kuvaana na timu yake ya zamani ya Liverpool atakapokuwa anarejea Anfield kwaajili ya mchezo wa raundi ya nne ya michuano ya FA Cup ambapo klabu yake anayoitumikia kwa sasa ya Bolton Wanderers itakapofuzu kucheza dhidi ya timu yake ya zamani ya Liverpool.
Mshambuliaji huyo wa zamani wa klabu ya Leicester City aliondoka Liverpool mnamo mwaka 2004, na huenda akarejea tena kukipiga kwenye dimba lake la zamani iwapo tu klabu yake ya sasa itafanikiwa kuwaondosha klabu ya AFC Wimbledon kwenye mchezo wa raundi ya tatu ya michuano ya FA Cup.
Chakuvutia zaidi kwenye drroo hii ya hatua ya nne ya michuano ya FA Cup ni timu ya daraja la pili ya Cambridge United
itakapokuwa ikiwakaribisha mashetani wekundu wa Manchester United, wakati Chelsea watakua na London derby nyingine tena pale watakapo ivaa klabu ya Millwall.
Manchester City v Middlesbrough
Doncaster or Bristol City v Everton or West Ham
Sunderland v Fulham or Wolves
Rochdale v Stoke City
Brighton & Hove Albion v Arsenal
Burnley or Tottenham v Leicester City
AFC Wimbledon or Liverpool v Bolton Wanderers
Cardiff City v Reading
Aston Villa v Bournemouth
Birmingham City v West Bromwich Albion
Preston North End v Sheffield United
Derby County v Scunthorpe or Chesterfield
Chelsea v Millwall or Bradford
Blackburn Rovers v Swansea City
Cambridge United v Manchester United
Southampton or Ipswich v Crystal Palace
Post a Comment