Je hii ni jezi mpya ya klabu ya Manchester United kwaajili ya msimu ujao wa 2015-2016?
Picha hii hapo juu imevuja kwenye mtandao wa Twitter ikionesha inayosadikiwa kuwa ni jezi mpya ya nyumbani ya klabu ya Manchester United kwa msimu ujao wa mwaka 2015-2916 zikiwa zimetengenezwa na kampuni ya Adidas.
Post a Comment