0
messi-page

Klabu ya Chelsea imetajwa kuwa tayari kulipa kiasi cha paundi milioni 200 ili kufikia bei ya kuvunja mkataba uliopo sasa baina ya mshambuliaji raia wa Argentina Lionel Messi na klabu yake ya sasa ya Barcelona. 

Chelsea imetejwa kuwa ni moja kati ya sehemu ambayo mshambuliaji huyo huenda akatua siku chache zijazo kutokana na hali ya sintofahamu iliyoikumba klabu hiyo kwa siku za hivi karibuni inayomfanya mshambuliaji huyo kupaona Barca sio sehemu salama kwake kwa sasa.

Chelsea 'AGREE to pay £200m fee to sign world superstar'

Gazeti la Daily Star limeandika kuwa klabu ya Chelsea inataka kutoa kiasi hicho kikubwa cha pesa ili kuhakikisha inamnasa mshambuliaji huyo na iko tayari kumpatia mkataba wa miaka sita ya kuitumikia klabu hiyo itakayo ambatana na mshahara mnono.

Post a Comment

 
Top