0


Manchester United imemfukuza msaka vipaji wao Torben Aakjaer kufuatia kuposti maneno ya Kibaguzi kwenye Mtandao wa Facebook.

Torben Aakjaer, Raia wa Denmark, alichapisha maneno ya Kibaguzi kupinga Uhamiaji kwenye mtandao huo wa kijamii.

Mara baada ya tuhuma hizo kuibuka, uongozi ManchesterUnited uliamua kumtimua kazi Torben Aakjaer baada ya uchunguzi wa muda mfupi.

Aakjaer alianza kazi ya kusaka vipaji kwa timu Man United Mwaka 2011 na kabla ya hapo alikuwa akifanya kazi na Klabu ya Hamburg Sv ya nchini Ujerumani.

Post a Comment

 
Top