Meneja wa klabu ya Real Madrid Carlo Ancelotti amethibitisha kupokea maombi ya mchezaji Angel Di Maria kuomba kuondoka ndani ya Real Madrid.
Taarifa zilizothibitishwa na meneja wa Real madrid zinasema mchezaji huyo amekwisha weka wazi kuwa anataka kuondoka ndani ya mabingwa hao wa Ulaya na tayari vilabu vya Paris-Saint Germain na Manchester United vinaonekana kuzihitaji kwa udi na uvumba huduma za mshambuliaji huyo wa Kiargentina anayeonekana kuvikimbia vivuli vya James Rodrigues na Toni Kroos waliowasili klabuni hapo siku chache zilizopita kwenye majira haya ya kiangazi.
The Italian
announced: "(Sami) Khedira has one more year and has rejected a new
deal. It is different than Di Maria as he has not asked to leave.
"Di Maria has asked to leave and rejected an offer from the club. [But] if he does not find a future solution he stays."
Post a Comment