Guus Hiddink (katikati) akiwa na wasaidizi wake Danny Blind (kushoto) and Ruud van Nistelrooy
Guus Hiddink ameanza rasmi kazi ya kukinoa kikosi cha timu ya taifa ya Uholanzi kwa kutoa ahadi ya kufuata nyayo za Louis
van Gaal kukiongoza kikosi hicho kucheza mchezo wa kuvutia.
Kocha huyo aliyechukua mikoba ya kukinoa kikosi hicho kutoka kwa Louis
van Gaal ambaye kwa sasa yuko nchini Marekani akiyatumikia majukumu yake
mapya ya kukinoa kikosi cha mashetani wekundu kutoka jiji la Manchester.
Louis van Gaal enzi zake akiwa kazini kwenye mchezo dhidi ya timu ya taifa ya Spain
Arjen Robben moja kati ya tumaini la Guus Hiddink.
Post a Comment