Floyd
Mayweather amemtembelea mcheza kikapu maarufu duniani Paul George hospitali alikolazwa mara baada ya kuvunjika mguu akiwa na timu ya mastaa wa kikapu ya nchini Marekani.
LeBron James nae pia amemtumia salamu za pole mchezaji mwenzake huyo wa ligi ya NBA.
George aliumia ilipokua akifanya mazoezi na kikosi cha timu ya mpira wa kikapu ya taifa la Marekani.
Post a Comment