Arsenal wanaimani ya kumsajili kiungo wa Sporting Lisbon, William Carvalho kabla ya Jumaatatu siku ambayo ndio utakua mwisho wa usajili ...
HIKI NDICHO KINACHOMCHELEWESHA ROJO KUKIPIGA NDANI YA UNITED.
Mlinzi mpya wa klabu ya Manchester United, Marcos Rojo bado anaendelea kusota ndani ya jiji la Madrid akitarajia kupata visa itakayomweze...
DONE DEAL: RASMI LOIC REMY ATUA CHELSEA.
Loic Remy amekamilisha uhamisho wa paundi milioni 8 na rasmi sasa anatua darajani kama mbadala wa Fernando Torres aliyetimukia klabu ya A...
DONE DEAL:MANCHESTER UNITED YAMNASA DELAY BLIND.
Daley Blind anatarajia kujiunga na klabu ya Manchester United kutoka klabu ya Ajax kwa ada ya uhamisho ya paundi milioni 13.8. ...
HII NDIO TOFAUTI BAINA YETU NA YAO SIJUI LINI TUTAFIKIA HUKU.
Beji ya unahodha ikiwa imewekwa kwa muhusika.
LAMPARD ATANGAZA KUACHANA NA SOKA LA KIMATAIFA.
Frank Lampard mwenye umri wa miaka 36 kwa sasa ametangaza rasmi kuachana na soka la kimataifa hii leo akiwa tayari amekwisha itumikia timu ...
HOFU YATANDA JUU YA MAUMIVU YA OLIVIER GIROUD.
Klabu ya Arenal inahofu ya kumkosa dimbani mshambuliaji wake Mfaransa Olivier Giroud kwa takribani miezi mitatu kutokana na kuwa na tatiz...
SIMEONE AGONGWA ADHABU YA MWANAUKOME.
Diego Simeone amepewa adhabu ya mwana ukome ya kutokukaa katika benchi la ufundi kwa michezo minane baada kutolewa nje kwa kosa la kumpi...
DI MARIA, AKITUA TU MANCHESTER UNITED ATAKUA MCHEZI WA TANO GHALI DUNIANI.
1.Gareth Bale Tottenham- Real Madrid = Paundi Milioni 86 2.Cristiano Ronaldo Manchester United-Real Madrid =Paundi milion...
UNITED KUWAJUMUISHA WELBECK AU CHICHARITO KWENYE DILI LA VIDAL.
Klabu ya Manchester United inaonekana kuwa tayari kuwajumuisha washambuliaji Danny Walbeck na Javi...
BAYERN MUNICH MSTARI WA MBELE KUMREJESHA KHEDIRA UJERUMANI
Mabingwa wa Ujerumani klabu ya Bayern Munich wanaonekana kuwa mstari wa mbele k...
MASIKINI GAZZA, MALIGENDALI WETU KUWENI MAKINI MAISHA KAMA GWARIDE.
Paul Gascoigne Gazza amelazwa tena hospitali kwa mara nyingine mara baada ya kuokwotwa na wana usalama akiwa chakari kutokana na kunywa p...