0
MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Ulaya inatarajiwa kuendelea tena kesho Jumanne kwa michezo kadhaa katika mechi za makundi. Ratiba kamili ni Kama ifuatavyo. (muda ni kwa masaa ya Afrika ya mashariki)


20:00 Zenit St Petersburg v Valencia CF - Petrovski Stadium

20:00 BATE Borisov v Bayer 04 Leverkusen - Borisov Arena

22:45 Maccabi Tel Aviv v Chelsea - Bloomfield Stadium

22:45 FC Porto v Dynamo Kyiv - Estadio do Dragao

22:45 Lyon v KAA Gent - Stade de Gerland

22:45 Barcelona v Roma - Camp Nou

22:45 Arsenal v Dinamo Zagreb - Emirates Stadium

Post a Comment

 
Top