0

Chama cha soka nchini Italia kimeitangaza jezi mpya itakayotumiwa na timu hiyo kwenye michuano ya kombe la Ulaya inayotarajiwa kutimua vumbi mapema mwakani kule nchini Ufaransa.

Kwenye jezi hiyo mpya iliyokwisha zinduliwa wadhamini wamezingatia asili halisi ya Azzuri na inaonekana kuwa na muonekano tofauti kidogo na ile iliyokuwa ikitumiwa na timu hiyo hapo awali.


Post a Comment

 
Top