Bayern Munich imejihakikishia kusonga mbele kwa kishindo baada ya kuitandika Olympiakos 4-0.
Magoli ya Bayern Munich yalitiwa kambani na Douglas Costa, Robert Lewandowski, Thomas Muller na Kingsley Coman.
Huu ni msimamo wa kundi F huku kila timu ikiwa imebakiza mchezo mmoja.
Post a Comment