ARSENAL imefufua matumaini ya kusonga mbele kwenye michuano ya Champions League baada ya kuinyuka Dinamo Zagreb 3-0.
Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi sita na itahitaji kushinda mchezo wake wa mwisho Disemba 9 dhidi ya Olympiakos ili kusonga mbele.

Post a Comment