Klabu ya Arsenal imeamua kuwaonesha mlango wa kutokea maveterani Tomas Rosicky, Mathieu Flamini na Mikel Artet.
Kwa mujibu wa gazeti la London Evening Standard la nchini Uingereza limeandika kuwa klabu ya arsenal inatarajia kuwaonesha mlango wa kutokea wachezaji hao utakapofika mwishoni mwa msimu huu ambapo mikataba ya wachezaji wote watatu itakua inamalizika na ni maamuzi ya kocha wa timu hiyo Mfaransa Arsene Wenger.

Post a Comment