Algeria imetangaza kikosi chake cha wachezaji 25
ambao wanajiandaa kucheza dhidi ya Taifa Stars katika hatua ya makundi
kufuzu fainali za Kombe la Dunia zitakazorindima Urusi 2018.
Taifa Stars ipo Afrika Kusini ambapo imeweka kambi na mechi ya kwanza itafanyika Jumamosi kwenye uwanja wa Taifa.
Hiki ndicho kikosi cha Algeria.
Walinda Mlango: Rais M’Bolhi (Antalyaspor / Uturuki), Azzedine Doukha (JS Kabylie), Malik Asselah (CR Belouizdad).
Viungo: Mehdi Zeffane (Rennes / Ufaransa), Mohamed
Khoutir Ziti (JS Kabylie), Faouzi Ghoulam (Napoli / Italia), Djamel
Mesbah (Sampdoria / Italia), Carl Medjani (Trabzonspor / Uturuki),Aïssa
Mandi (Reims / Ufaransa), Hichem Belkaroui (Club Africain / Tunisia),
Rami Bensebaini (Montpellier / Ufaransa).
Saphir Taïder (Bologna / Italia), Nabil Bentaleb (Tottenham /
Uingereza), Walid Mesloub (Lorient / Ufaransa), Mehdi Abeid
(Panathinaikos / Ugiriki), Adelene Guedioura (Watford / Uingereza).
Sofiane Feghouli (Valencia / Hispania), Ryad Mahrez (Leicester /
Uingereza) Yacine Brahimi (Porto / Ureno ), Ryad Boudebouz (Montpellier /
Ufaransa), Said Benrahma (Nice / Ufaransa), Rachid Ghezzal (Lyon /
Ufaransa)
Washambuliaji: Islam Slimani (Sporting / Ureno), Baghdad Bounedjah (ES Sahel / Tunisia), Ishak Belfodil (Bani Yas / United Arab Emirates).
Post a Comment