0

Unaweza kutaja majina ya viwanja hivi vilivyomo kwenye picha zilizopo hapo chini?

Hii ni nafasi yako kuthibitisha ubora wako katika masuala ya kimichezo kwako na marafiki zako na utuambie sisi kuwa viwanja hivi viko wapi.

 Majibu yako yote yatumwe kwenye ukurasa wetu wa facebook wa michezo jogoo au kupitia anuani yangu binafsi ya barua pepe hossamulaya@gmail.com 

1. TAJA JINA LA UWANJA HUU.



2. KWA MSAADA WA RANGI ZA KWENYE WAVU, TAJA JINA LA UWANJA HUU.


3. HAPA PAMEPIGWA PICHA KWA JUU, TAJA JINA LA UWANJA.

4. UWANJA GANI NCHINI UINGEREZA AMBAO NJEE KUNA PICHA YA SIMBA HUYU.......?


5. TAA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE UWANJA GANI?
6. NA HUU NAO NI UWANJA GANI?



Post a Comment

 
Top