TIMU ya JKT Ruvu, imeanza kujiimarisha kwa ajili ya kufanya vizuri kwenye Ligi ya Vodacom baada ya kumsajili kiungo wa Stand United H...
MATOLA AIBUKIA GGM FC
ALIYEKUWA kocha msaidizi wa Simba Selemani Matola, amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuifundisha timu ya Geita Gold SC inayoshiriki ...
KILIMANJARO STARS KUTUPA KARATA YAKE DHIDI YA WENYEJI KESHO.
Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania bara ‘Kili Stars’, Abdallah Kibadeni amesema pamoja na kushinda mechi mbili zilizopita za kundi A, ...
MATOKEO YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE KWA MECHI ZILIZOPIGWA JANA.
WAKATI timu nyingi zikiwemo Real Madrid, PSG, Barcelona, Bayern Munich, Juventus na FC Zenit, zimejihakikishia nafasi ya kusonga mbel...
RYAN GIGGS ATAJA 11 WAKE WA MUDA WOTE WA MANCHESTER UNITED
kikosi kamili sha Ryan Giggs. Mchezaji wa zamni wa klabu ya Manchester United amabaye kwa sasa ni kocha msaidizi wa klabu hiyo Ryan G...
MANCHESTER UNITED WAPIGANA VIKUMBO NA PSG KUWANIA SAINI YA RONALDO.
Klabu ya PSG ya nchini Ufaransa imesema kuwa itafanya kila liwezekanalo kuhakikisha kuwa inamshawishi mshambuliaji wa klabu nya Real Ma...
SONGEA YAJIANDAA KWA BONANZA KUBWA LA MAVETERANI KUANZIA IJUMAA HII.
Klabu ya maveterani wa mji wa Songea (Songea Veteran) imeandaa bonanza kubwa la kufunga mwaka linalotarajiwa kufanyika kwenye dimba la Ma...
STEVEN GERRARD KUREJEA LIVERPOOL WIKI IJAYO.
Nahodha wa zamani wa klaby ya Livepool, Steven Gerrard anatarajiwa kurejea kwenye klabu yake hiyo ya zamni kwaajili ya mazoezi wiki ij...
FLEDY FELIX "KATARAIYA BABA ISAYA MAJESHI" MINZIRO ATUA PANONE FC.
KOCHA wa zamani wa JKT Ruvu, Felix Minziro leo amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuifundisha Panone FC ya jijini Moshi. Baada ya kusa...
NINI HATIMA YA MUVI HII INAYOENDELEA BAINA YA SIMBA, MAJWEGA NA AZAM FC?
Kiungo wa Azam FC, Brian Majwega ameliomba Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kumpa ruhusa ya kuitumikia klabu ya Simba ili kulinda kip...
CHELSEA KWELI SASA IMEZALIWA UPYA.
MABAO yaliyofungwa na Gary Cahill, Willian, Oscar na Kurt Zouma yameipa Chelsea pointi tatu muhimu kufuatia ushindi wake wa 4-0 dhidi...
BAYERN MUNICHEN NI USHINDI TU.
Bayern Munich imejihakikishia kusonga mbele kwa kishindo baada ya kuitandika Olympiakos 4-0. Magoli ya Bayern Munich yalitiwa kambani...
ARSENAL YAFUFUA MATUMAINI YAKUTINGA HATUA YA 16 BORA YA MICHUANO YA UEFA.
ARSENAL imefufua matumaini ya kusonga mbele kwenye michuano ya Champions League baada ya kuinyuka Dinamo Zagreb 3-0. Kwa ushindi huo, Ar...
BARCELONA NI ILEILE MESSI NI YULEYULE NA MAKALI NI YALEYALE.
Lionel Messi amedhihirisha kuwa majereha yaliyomweka nje ya dimba kwa wiki kadhaa, hayajapunguza makali yake. Mshambuliaji huyo ameng...
MASIKINI MICHEL PLATINI......MAMBO BADO YAZIDI KUMUENDEA MRAMA.
Kamati ya maadili ya FIFA imependekeza kuwa Rais aliyesimamishwa kazi wa UEFA Michel Platini apigwe marufuku ya maisha asishiriki maswa...
TIMU BORA YA WIKI YA LIGI KUU YA NCHINI UINGEREZA HII HAPA.
Ligi kuu ya nchini Uingereza Premier League imeigia kwenye wiki yake ya 13 huku nyasi za viwanja kadhaa zikiendelea kuumia kwa miamba kad...
UEFA YATANGAZA ORODHA YA WACHEZAJI WANAOWANIA KUINGIA KWENYE KIKOSI CHA MWAKA CHA SHIRIKISHO HILO.
Uefa imetangaza majina ya wachezaji wanaowania kuteuliwa kuingia kwenye timu ya Uefa ya mwaka ambapo klabu ya barcelona inaonekana kutawa...