Polisi wa jiji la London wamesema wamejipanga kisawasawa kuwakabiri masabiki zaidi ya 5000 wa vilabu vya Galatasaray na Besiktas zote k...
FIKRA ZANGU ZINANITUMA KUWA HUYU NDIYE SULUHISHO LA TATIZO LA KIUNGO NDANI YA ARSENAL.
Wakati Aaron Ramsey na Mikel Arteta wakitarajiwa kuwa nje kwa kipindi cha takribani mwezi mmoja, sehemu ya kiungo ya klabu ya Arsenal i...
LIVERPOOL KUMPA MSHAHARA MNONO RAHEEM STERLING ILI AENEDELEE KUBAKIA ANFIELD.
Liverpool imeripotiwa kutaka kumuongeza mshahara mshambuliaji wake Raheem Sterling ili kujaribu kumshawishi asiondoke ndani ya klabu hiy...
MARA BAADA YA KURUKA SARAKASI ZAKE NA KUZAWADIWA KADI NYEKUNDU HII NDIO MICHEZO ATAKAYOIKOSA NAHODHA WAYNE ROONEY.
Wakati akiwa akisherehekea kutimiza miaka 10 ndani ya klabu ya Manchester United nahodha wa klabu ya Manchester United, Wayne Rooney am...
KWELI HAWA JAMAA WAMEDHAMIRIA KUMREJESHA RONALDO OT.
Mashabiki wa klabu ya Manchester United wametimiza adhima yao ya kupitisha bango lenye maneno 'COME HOME RONALDO' kwenye mchez...
BAYERN MUNICH YATANGAZA NIA YA KUMUONDOA MESUT OZIL ARSENAL.
Kiungo wa klabu ya Arsenal Mesut Ozil anasakwa kwa udi na uvumba na klabu ya Bayern Munich kuelekea kwenye dirisha la usajili la mwezi...
LIVERPOOL YATANGAZA NIA YA KUMNYAKUA KARIM BENZEMA MWEZI JANUARY.
Liverpool imeweka hadharani nia yake ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Real Madrid Karim Benzema kwenye usajili wa mwezi January mwakan...
NIONAVYO MIMI WANNE HAWA WAONDOKE NDANI YA ARSENAL.
Arsenal wamerejea katika mstari mwaka huu wakiwa na kikosi chenye marekebisho na sura mpya kadhaa wa kadha. Baadhi ya wachezaji wanaone...
LIVERPOOL NA MANCHESTER UNITED ZAWASHIWA TAA YA KIJANI KWA MARCO REUS.
Liverpool na Manchester United wamewashiwa taa ya kijani katika mpango wao wa kutaka kumsajili kiungo wa klabu ya Borussia Dortmund Ma...
MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED WAANZA MCHAKATO WA KUMREJESHA RONALDO OLD TRAFORD.
Mashabiki wa klabu ya Manchester United wanatarajia kukirudia kilekile walichokifanya dhidi ya kocha waliyetimuliwa ndani ya kikosi hic...
LIVERPOOL YAMTOLEA MATE HIGUAIN.
Mabosi wa klabu ya Liverpool wametangaza nia yao thabiti ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Real Madrid Gonzalo Hig...
GOLI LA KUSAWAZISHA LA FRANK LAMPARD LATOA UHAI WA SHABIKI WA CHELSEA.
Frank Lampard (kushoto) aligoma kushangilia goli hilo alilolifunga dhidi ya timu yake ya zamani ya Chelsea Mchezaji na mshabiki wa ...
JURGEN KLOPP AKANUSHA TAARIFA ZA ILKAY GUNDOGAN.
Meneja wa timu ya Borussia Dortmund Jurgen Klopp amekanusha taarifa zilizotolewa kwamba mchezaji wake Ilkay Gundogan aliyekua akisum...
MAMBO SABA UNAYOTAKIWA KUYAJUA KUHUSU DILI LA UPANUZI WA UWANJA WA LIVERPOOL.
Liverpool imewashiwa taa ya kijani kuendelea na dili lake la kuufanyia upanuzi uwanja wa Anfield mnamo mwaka 2016 mara baada ya mamlaka...
RONALDO AKARIBIA KUVUNJA REKODI NYINGINE TENA NDANI YA MADRID NA LA LIGA.
Cristiano Ronaldo amerejea tena njiani msimu huu mara baada ya kutokuwa na msimu wa kuvutia sana mwaka jana kutokana na kuandamwa na ...
DANIEL AGGER AKITAJA KILICHOMUONDOA LIVERPOOL.
Daniel Agger ameanika hadharani sababu zilizomfanya yeye aondoka ndani ya klabu ya Liverpool kuwa ni tofauti iliyokuwepo baina yake na m...
SIRI YAFICHUKA KIPIGO CHA GOLI 5-3 ILICHOAMBULIA MANCHESTER UNITED.
Siri ya kipigo kizito ilichokipata klabu ya Manchester United kutoka kwa klabu iliyopanda daraja msimu huu ya Leicester City imefichuka....