Wakala wa mshambuliaji wa klabu ya Newcastle ya nchini Uingereza Moussa Sissoko amesema bei ya kiungo huyo inaweza kupungua kutokana na timu hiyo kushuka daraja.
Kiungo huyo ameakua akihusishwa na kuhamia kwenye vilabu vya Arsenal na Liverpool na tayari imeshathibitika kuwa bei ya kuvunja mkataba wa kiungo huyo ni paundi milioni 35 za uingereza.
"Sijui itakuaje kwani makubaliano yaliyokuwepo awali yalikua yanasema kuwa Moussa anatakiwa kubakia kwa msimu mmoja zaidi ili kuinusuru timu na kuisaidi iweze kurejea kwenye ligi kuu msimu ujao" Alithibitisha wakala wa Mussa.
"Alifanya kila linalowezekana na tayari taarifa za klabu zinadai kuwa Moussa anaweza kuondoka ndani ya klabu hiyo kwa ada ya kati ya paundi milioni 18 au 28, ni matarajio yangu kuwa Rafael Benitez na uongozi wa klabu wakiongozwa na Raisi wa klabu watafikilia zaidi mustakabali wa Moussa.

Post a Comment