MWANDISHI wa habari
za michezo na burudani wa gazeti la Majira, Elizabeth Mayemba amefariki
dunia usiku wa leo baada ya kuanguka ghafla nyumbani kwake Tabata jijini
Dar es Salaam.
Mtandao huu utaendelea kukujuza kila litakalojiri kuhusiana na tanzia hii iliyowakumba wanamichezo.
Chanzo; Boiplus.blogspot.com
Post a Comment