Ligendali wa zamani wa timu ya taifa ya Ufaransa Frank
Leboeuf amepinga kitendo cha shilikisho la soka barani Ulaya UEFA kuamua kumtangaza mshambuliaji wa klabu ya Atletico Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa Antoine Griezmann kuwa mchezaji bora wa mashindano ya Euro 2016 na badala yake kudai kuwa mlinzi wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Simone Pepe ndiye aliyekuwa anastahili zaidi tuzo hiyo.
Griezmann alikua na wakati mzuri sana na timu yake ya taifa kwenye hatua ya makundi na hata kwenye hatua ya mtoano na haswa kwenye mchichezo ya hatua ya mtoano dhidi ya Jamuhuri ya Ireland, Iceland na Ujerumani lakini alishindwa kabisa kuisaidia timu yake kwa kushindwa kuifungia timu yake hiyo kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Ureno kwenye mchezo ambao timu yake iliupoteza mchezo huo kwa goli lililofungwa dakika 30 za nyongeza.
UEFA ilimchagua mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 25 kutokana na kiwango alichokionesha na vile alivyoisaidia timu yake lakini Leboeuf amesema kuwa mshambuliaji huyo hakustahili tuzo hiyo binafsi kuibakisha tuzo hiyo nyumbani.
"Nampenda sana Griezmann, lakini hakustahili kuwa mchezaji bora wa mashindano sikubaliani na chaguo hili,"Alisema Leboeuf.
"Lazima tuwe wadadisi. Tumeanza kumuona aking'ara kuanzia mchezo wa robo fainali na kuendelea. Alipata nafasi mbili kwenye mchezo wa fainali na akashindwa kuzitumia na hakuna jipya aliloweza kulifanya kwenye mchezo huo ambao tulipoteza.
"Lakini UEFA siku zote wamekua wakifanya hivi . Wamekua hata wakimchagua mchezaji bora wa mechi au mashindano kwa sababu ya kufunga magoli tu."
"Kwangu mimi kulikua na watu kama Pepe, na Gareth Bale ambaye amewaongoza vyeama Wales mpaka hatua ya nusu fainali.na wameonesha ubora wa hali ya juu sana.

Post a Comment