0



NAMBA
JINA LA MGOMBEA
NAFASI
1.
DAVID P. FANGA
MTUNZA HAZINA
2.
ALIMENTARIUS B. METHOD
MAKAMU M/KITI
3.
MORRIS MHAGAMA
MAKAMU M/KITI
4.
MOSES O. NYONI
MWAKILISHI WA MKUTANO MKUU (FARU)
5.
MRISHO HAMIS
MWAKILISHI WA MKUTANO MKUU (FARU)
6.
RENATUS P. MSUHA
KATIBU MKUU MSAIDIZI
7.
FARAJA MUWANJE
MWAKILISHI SOKA (WANAWAKE)
8.
EMMANUEL LINGOWE BERNALD
MWAKILISHI WA VILABU
9.
SIXBERT KOMBA
KATIBU MKUU
10.
HAMDAN A. HAMDAN
MWENYEKITI
11.
CHARLES JOHN MKOBA
MWENYEKITI

NB: Siku ya Jumamosi (Tar. 23 Julai, 2016) Saa tano za asubuhi, zoezi la Usahili litafanyika katika Ukumbi wa Shule ya Msingi Peramiho A, hivyo wagombea wote wamekwishataarifiwa kuhusu kuhudhuria Usahili huo.

Imetolewa na;
Oswald Ngonyani
(Katibu wa Kamati huru ya Uchaguzi-SORUFA, mwaka 2016)

Post a Comment

 
Top