0
United shop fails again with hilariously bad Da Maria shirt fail

Kitengo cha uchapishaji cha klabu ya Manchester United kimeiingiza kwenye aibu kubwa klabu hiyo mara baada kuchapisha vibaya jina la mchezaji Angel Di Maria kwenye jezi zilizopelekwa dukani kwa madhumuni ya kibiashara.

Katika makosa hayo jezi ya mchezaji huyo imekutwa imeandikwa ‘Da Maria’ baada ya Di Maria kama jina lake lilivyo wakati jezi ya mchezaji Radamel Falcao imekutwa ikiwa imeandikwa  ‘Flacao’.

falcao3

Post a Comment

 
Top