0
Man United to pip Arsenal to £32m deal for quality defender

Manchester United iko katika hatua nzuri ya kushinda mbio za kumsajili mlinzi wa kati Aymeric Laporte mara baada ya kukubali kulipa kiasi cha paundi milioni 32 ikiwa ni ada inayoweza kuvunja mkataba wake wa sasa na hivyo kuwa mchezaji halali kabisa wa Man U kuanzia mwezi January.

Laporte anayetajwa kuwa mmoja kati ya walinzi bora kabisa chipukizi kwa sasa alikua anaviziwa sana na klabu ya Arsenal ili kuweza kuimarisha sehemu ya ulinzi ya klabu hiyo lakini sasa imefahamika kuwa mlinzi huyo raia wa Ufaransa rasmi atavaa jezi ya Manchester United ambapo Louis van Gaal akijiandaa kupeleka kiasi cha paundi milioni 32 ili kumnyakua mlinzi huyo.

laporte

Post a Comment

 
Top