0
https://metrouk2.files.wordpress.com/2014/10/wenger-457664198-copy-e1414587749281.jpg

Arsene Wenger amemuwashia taa ya kijani kocha msaidizi wa klabu ya Real Madrid Paul Clement ili aje ashike mahala pake kama meneja wa klabu hiyo kuanzia mwishoni mwa msimu huu.

Clement ametajwa kuwa mrithi wa mzee Wenger mwishoni mwa msimu huu wakati bodi ya klabu ya Arsenal ikimtazama na kumtaka kocha huyu kama mrithi muafaka wa Arsene Wenger. 

Taarifa kutoka kwa vyanzo vya karibu na Wenger vinadai kuwa Mfaransa huyo amelifurahia wazo hilo kutokana na ukweli kwamba Clement tayari amekwishafanya kazi katika vilabu vya Chelsea, PSG na sasa Madrid kama mwalimu msaidizi na hivyo anaamini ana mambo makubwa anayoweza kuyaleta ndani ya klabu ya Arsenal.

Post a Comment

 
Top