MPIRA KWELI MAPAMBANO.....TAZAMA JERAHA LA MARTIN SKRTEL ALILOSABABISHIWA NA GIROUD. 20:25 Unknown 0 FOOTBALL A+ A- Print Email Hii ndio picha aliyopost Martin Skrtel kwenye mtandao wa Instagram ikionesha nyuzi nane alizoshonwa. Hii ndio faulo aliyochezewa Martin Skrtel na mshambuliaji Olivier Giroud. Ilimchukua takribani dakika 6 Martin Skrtel kutibiwa jeraha lake. Baada ya matibabu Skrtel alirejea mzigoni na kuisawazishia timu yake ya Liverpool.
Post a Comment