0
Real Madrid's form in the last 17 games will blow your mind
Klabu ya Real Madrid siku ya jana ilicheza mchezo wake wa 17 bila ya kufungwa na kuandikisha historia mpya wakiwa na wakati mzuri kwenye michuano yote ya UEFA na Ligi kuu ya nchini Hispnia La Liga.

Vijana wa Carlo Ancelotti hawajafungwa kwenye michezo 17 iliyopita ambayo wamefunga jumla ya magoli 70 na wao wakifungwa takaribani magoli 9 tu huku wakicheza michezo takribani 9 bila ya kufungwa.


Post a Comment

 
Top